Service – Babysitter, (house Maid), Kid’s tutor, home cleanness – Dar es Salaam
Baby Sitter,
get professional and well trained personnel who can take care of your baby in a great standard.
Remember Our Babysitters are educated and experienced.
House Maid
We also Provide House maids who will take care of your entire house, like house cleanness, house organizing, cooking, and all domestic works at your home.
Cleanness
We’re also a cleaning company as we send our team to your home or office for daily cleanness, as our company known as the best cleaning company in a city for commitment and well trained team. (Dar es Salaam)
Home Tutor for kids.
We do provide home tutor for kids, our tutors are professional and know exactly how to handle any kid.
FOR FURTHER INFORMATION PLEASE CONTACT US
Call / Whatsapp – +255 620 426 850
Email – info@swahiliteacher.com
SWAHILI VERSION
Binti au Kijana wa kukaa na mtoto nyumbani (Babysitter)
Tunatoa huduma ya binti au kijana mwenye uwezo mzuri wa kukaa na mtoto wako unapokua kazini au nje ya nyumbani au hata ukiwa nyumbani, watu wetu ni wenye uzoefu mzuri wenye kujituma na kujua kazi sawasawa.
Wafanyakazi wa Ndani
Tunatoa huduma hii ya wafanya kazi wa ndani wenye uzoefu mzuri na wenye kujituma na kazi zao, tafadhali wasiliana nasi ikiwa una swali au ungehitaji kujua zaidi.
Kampuni ya Usafi Dar
Tunatoa huduma za usafi wa manyumbani na maofisini, tafadhali wasiliana nasi kwa mengi zaidi ila kampuni yetu ni yenye jina zuri yenye wafanyakazi wenye heshima na kujituma.
Walimu wa watoto majumbani
Tunatoa huduma hii kwa watu kwani ni changamoto kubwa sana kwa jami yetu, ikiwa unamtaka mwalimu atakayemfundisha mwanao angali yu nyumbani usisite kuwasiliana nasi. tunatoa huduma ya masomo yote.
WASILIANA NASI
Whatsapp / Call +255 620 426 850
Email – info@babysittersindar.com
Email 2 – kulayagroup@gmail.com
The Chairman – emanmic@yahoo.com